Would you like to inspect the original subtitles? These are the user uploaded subtitles that are being translated:
1
00:00:00,850 --> 00:00:02,130
Hello, habari za wakati huu.
2
00:00:02,210 --> 00:00:03,810
Kwa majina naitwa Mwajuma Muhasu.
3
00:00:04,270 --> 00:00:04,970
Karibu ni sana.
4
00:00:05,110 --> 00:00:07,510
katika mfululizo wa vipindivietu kutoka hapa.
5
00:00:07,590 --> 00:00:08,830
Life with Muhasu Podcast.
6
00:00:20,900 --> 00:00:23,000
Leo, nipo nataka nizungumzie.
7
00:00:23,300 --> 00:00:29,180
Ni kwa namna gani unapaswa ufanye vitu, vichache, au
8
00:00:29,180 --> 00:00:32,140
tuseme vidogo kwa ubora.
9
00:00:34,480 --> 00:00:37,200
nikiwa na maana kwamba, siku zote.
10
00:00:38,200 --> 00:00:43,740
Kama huwezi kufanya vitu vikubwa, kama umekosa nafasi
11
00:00:43,740 --> 00:00:49,260
ya kufanya vitu vikubwa, kama inishindikana huwezi kufanya
12
00:00:49,260 --> 00:00:54,760
vitu vikubwa, basi, unapaswa kusanya hivyo hivyo vitu
13
00:00:54,760 --> 00:00:57,440
vidogo lakini kwa ukubwa.
14
00:01:07,350 --> 00:01:13,030
Unajua, kuna watu wako, wanasubiriaga wapate nafasi kubwa
15
00:01:13,030 --> 00:01:16,310
-kubwa, au wewe kattika mazingira makubwa-makubwa,
16
00:01:16,930 --> 00:01:20,070
wakiamini kwamba ndiyo wataweza kuonesha uwezo wao mkubwa.
17
00:01:20,690 --> 00:01:25,010
Wanasahau kwamba, kama huwezi kufanya vitu vidogo,
18
00:01:25,350 --> 00:01:28,710
honestly, hautaweza kufanya vitu vikubwa.
19
00:01:29,270 --> 00:01:32,870
Na hii iko very true, lakini asilimia kubwa
20
00:01:32,870 --> 00:01:36,490
ya watu, hususa ni sisi vijana, au sisi
21
00:01:36,490 --> 00:01:40,010
wa Tanzania na wa Afrika kwa ujumla tunadharau
22
00:01:40,010 --> 00:01:40,470
sana.
23
00:01:49,700 --> 00:01:53,980
Tuko na uwezo wakufanya vitu vidogo-vidogo katika
24
00:01:53,980 --> 00:01:59,500
mazingira yetu tulionayo, katika namna ya ukubwa
25
00:01:59,500 --> 00:02:02,220
wakati tunasubiri vitu vikubwa.
26
00:02:03,640 --> 00:02:07,080
Mwisho wa siku, hivyo hivyo vitu vidogo ambavyo
27
00:02:07,080 --> 00:02:11,100
tunavifanya kila siku, lakini kwa ubora na ukubwa,
28
00:02:11,580 --> 00:02:16,240
ndivyo ambavyo vitatupa ngazi ya kutupandisha na kutufikisha
29
00:02:16,240 --> 00:02:19,520
kwenye vile vitu vikubwa ambavyo tunavitamani.
30
00:02:26,810 --> 00:02:30,730
Ukweli ni kwamba, kila mmoja anatamani kufanya mambo
31
00:02:30,730 --> 00:02:31,250
makubwa.
32
00:02:31,530 --> 00:02:34,010
Kila mmoja, no matter yupo eneo gani
33
00:02:34,250 --> 00:02:38,590
Hata mimi ni natamani sana kupata position kubwa,
34
00:02:38,590 --> 00:02:43,750
kwa sababu ninaamini ninaweza au ninawezo wakufanya yale
35
00:02:43,750 --> 00:02:46,270
ambavyo nimakubwa ninayotamani kuyafikia.
36
00:02:48,210 --> 00:02:51,670
Lakini sasa niko katika position ambayo, bado sina
37
00:02:51,670 --> 00:02:56,530
uwezo wakufika kule ninakupaona au ninapotamani kufika.
38
00:02:56,910 --> 00:03:01,150
kukaa nika relax, nikasubiri, kwa sababu muda haumsubiri mtu.
39
00:03:08,240 --> 00:03:10,160
Umri unaenda, miaka inakatika.
40
00:03:10,160 --> 00:03:15,400
Nilazima kwa mazigira yangu, haya haya ambayo nikonayo,
41
00:03:16,520 --> 00:03:19,620
kwenye kitu kile ambavyo ninahisi ninakiweza.
42
00:03:19,940 --> 00:03:24,160
Hata kama nikidogo, ninapaswa kukifanya katika namna ya
43
00:03:24,160 --> 00:03:28,300
ukubwa, uzuri na ubora, ili mwisho wasiku niweze kufika
44
00:03:28,300 --> 00:03:32,060
kule ambako, ninatamani kufika siku moja.
45
00:03:33,100 --> 00:03:38,060
So, inawezekana wewe ni mamantilie, unauza maandazi
46
00:03:38,060 --> 00:03:39,300
mtaji wako ni elfu tano.
47
00:03:40,100 --> 00:03:43,680
Inawezekana wewe ni graphic designer, lakini huna
48
00:03:43,680 --> 00:03:47,700
customers, huna vifaa, zaidi ya simu yako.
49
00:03:48,300 --> 00:03:51,420
Inawezekana wewe ni muandishi, unatamani kuandika vitabu
50
00:03:51,420 --> 00:03:55,320
vikubwa, lakini bado hauna hata kifaa kimoja.
51
00:03:55,900 --> 00:04:00,200
Tukiachilia mbali kifaa, hauko hata nashabiki mmoja ambaye
52
00:04:00,200 --> 00:04:01,120
anakufahamu.
53
00:04:02,380 --> 00:04:06,320
Na whatever inawezekana ni mahusiano machanga, unatamani siku
54
00:04:06,320 --> 00:04:07,420
moja kupata ndoa.
55
00:04:08,320 --> 00:04:11,340
So, kupitia mausiano yako hayo machanga, yanakufikishaje
56
00:04:11,340 --> 00:04:11,860
kwenye ndoa.
57
00:04:20,710 --> 00:04:24,010
Leo hii unakuta mtu, yuko nauwezo wa kupata wateja
58
00:04:24,010 --> 00:04:27,490
watano, sita, kumi, au hata mteja mmoja.
59
00:04:27,650 --> 00:04:31,630
Lakini, hamuhudumii yule mteja katika kiwango ambacho,
60
00:04:31,930 --> 00:04:33,570
kitamsaidia apate wateja mia.
61
00:04:33,570 --> 00:04:36,450
yeye anaamini kwamba, nikipata wateja mia, hapa ni
62
00:04:36,450 --> 00:04:36,790
nimemaliza.
63
00:04:37,350 --> 00:04:39,310
Eeh, yani hapa sasa nimemaliza.
64
00:04:39,570 --> 00:04:42,090
Anamsahau huyu mteja mmoja au kumi ambao
65
00:04:42,090 --> 00:04:43,270
tayari, yuko nao.
66
00:04:46,530 --> 00:04:50,150
Hudumia kwanza hawa wateja kumi, warizike katika kiwango
67
00:04:50,150 --> 00:04:53,630
ambacho, ungetamani kuhudumia wateja mia, warizike.
68
00:04:54,150 --> 00:04:58,530
Kama hutaweza kurizisha wateja kumi, utawezaje kurizisha wateja
69
00:04:58,530 --> 00:04:58,810
mia.
70
00:05:06,970 --> 00:05:11,490
Kama huwezi kumfanya mwenza wako, awe nafuraha, wakati
71
00:05:11,490 --> 00:05:14,470
mko kwenye mahusiano ya mwezi mmoja miwili au mitatu,
72
00:05:14,810 --> 00:05:18,130
ukamuonesha kwamba unampenda na unastahili kuwa mke au
73
00:05:18,130 --> 00:05:21,330
mumewake bora, baba au mama bora wa familia
74
00:05:21,330 --> 00:05:21,770
yake.
75
00:05:22,170 --> 00:05:24,590
Unawezaje kwenda kumpena mkiwa kwenye ndoa.
76
00:05:27,300 --> 00:05:30,180
hunauwezo wa kumudumia mtoto mmoja katika kiwango
77
00:05:30,180 --> 00:05:33,900
ambacho kinapaswa kumuhudumia, utawezaje kuhudumia watatu wa nne
78
00:05:33,900 --> 00:05:34,360
wa tano.
79
00:05:37,980 --> 00:05:41,660
Oda ya mteja mmoja unasumbuana nae.
80
00:05:41,880 --> 00:05:43,560
Oda ya mteja mmoja wateja wawili.
81
00:05:43,920 --> 00:05:48,260
Unasumbuana nao, unapelekeshana nao, utaweza kuhudumia watejia kumi?
82
00:05:48,260 --> 00:05:48,900
ishirini.
83
00:05:56,900 --> 00:06:02,040
Kwahiyo mwisho wa siku tusiwe wepesi wa kulalamika au kulaumu
84
00:06:02,040 --> 00:06:04,100
kwamba, Mungu ameniacha.
85
00:06:04,900 --> 00:06:09,160
Mungu hanipi kile niko nataka anabariki wengine, wakati
86
00:06:09,160 --> 00:06:13,680
Mungu mwenyewe haoni kwamba unafanya vile vitu ulivyonavyo,
87
00:06:13,760 --> 00:06:17,320
unavitumia in a way kwamba yeye mwenyewe ahisi kwamba
88
00:06:17,320 --> 00:06:19,060
huyu anastahili kuongezewa.
89
00:06:20,320 --> 00:06:23,180
Unaenda kukesha kanisani, miskitini, unalia na Mungu.
90
00:06:23,820 --> 00:06:27,280
Wakati tayari, uko na uwezo wa kufanya vichache oliviyonavyo,
91
00:06:27,760 --> 00:06:30,380
na vikakupa matokeo wakati huo huo vika
92
00:06:30,380 --> 00:06:33,800
kusogeza kuweza kufikia sehemu kubwa zaidi.
93
00:06:35,120 --> 00:06:37,360
Sawa umeajiriwa, eh?
94
00:06:37,640 --> 00:06:39,700
Sawa umeajiriwa unalipwa elfu tano kwa siku.
95
00:06:40,700 --> 00:06:46,640
Elimu yako inakufanya au inastahili kulipwa laki saba, laki nane.
96
00:06:47,160 --> 00:06:51,160
Lakini madudu ambayo unayafanya huku chini, inawezekana wewe ni
97
00:06:51,160 --> 00:06:58,600
mlinzi, inawezekana umeajiriwa restaurant, au sehemu ngingine yoyote
98
00:06:58,600 --> 00:07:02,480
ili unalipwa malipo madogo, unatamani kuwa ungeajiliwa sehemu
99
00:07:02,480 --> 00:07:06,440
kubwa zaidi, inawezekana ni kwa sababu ya kiwango chako cha elimu ambacho
100
00:07:06,440 --> 00:07:09,600
ukonacho, so, upo umejiishikiza kwa sababu huna jinsi,
101
00:07:09,760 --> 00:07:11,020
huna jinsi.
102
00:07:17,280 --> 00:07:18,800
Unatamani sina kufika kule.
103
00:07:19,260 --> 00:07:21,120
Huku unafanya madudu, utaweza kule.
104
00:07:22,480 --> 00:07:25,380
Unawezo kusema, ndio nitaweza kwa sababu profesional
105
00:07:25,380 --> 00:07:28,060
ok, yako ipo kule.
106
00:07:28,640 --> 00:07:33,100
Tutaamini vipi kwamba umepewa, eh, umepewa hiki kidogo, umeshindwa
107
00:07:33,100 --> 00:07:35,900
kukifanya kwamba tukuamin tukupanishe kule pakubwa.
108
00:07:36,420 --> 00:07:37,180
Tutaamini vipi.
109
00:07:38,020 --> 00:07:42,680
Kama umeshindwa kutuaminisha huku chini, tutawezade kukupa, eh,
110
00:07:43,060 --> 00:07:44,220
zamana ya kule juu.
111
00:07:44,880 --> 00:07:46,840
Wewe ni mwenyekiti wa serikali ya mitaa.
112
00:07:47,840 --> 00:07:49,820
Wewe ni mjumbe wa nyumba kumi.
113
00:07:50,080 --> 00:07:51,840
Unashindwa kuhudumia wananchi.
114
00:07:53,080 --> 00:07:56,100
Ukiwa katika nyazifa yako hiyo, leo hiyo unasema
115
00:07:56,100 --> 00:07:59,700
ukiwa mbunge waziri raisi, utafanya makuwa utaleta mabadiliko
116
00:07:59,700 --> 00:08:00,560
nchini Tanzania.
117
00:08:00,560 --> 00:08:02,780
Tutakuamini vipi kukupa hiyo dhamana.
118
00:08:10,800 --> 00:08:13,320
Wewe ni mualimu afisa maendeleo jamii umetoka chuoni
119
00:08:13,800 --> 00:08:15,540
Fresh Graduates, oke?
120
00:08:16,480 --> 00:08:19,540
Unatumiaje hio elimu yako kufanya jambo lolote hata
121
00:08:19,540 --> 00:08:22,820
mtaani kwako, ili sasa ulalamike vizuri, nimekosa
122
00:08:22,820 --> 00:08:24,280
ajira kuwa ofisa mtendaji.
123
00:08:24,900 --> 00:08:28,340
Ni mekosa ajira kuwa mwalimu, shule ya msingi
124
00:08:28,340 --> 00:08:29,840
sijui kibamba mbeli.
125
00:08:33,140 --> 00:08:37,100
Kwa hiyo, ni lazima ujifunze kufanya kitu, kidogo,
126
00:08:37,280 --> 00:08:38,700
katika namna ya ubora.
127
00:08:39,000 --> 00:08:40,600
Usidharahu hata siku moja.
128
00:08:42,220 --> 00:08:42,900
Usidharahu.
129
00:08:43,160 --> 00:08:45,260
Nisawa na kusema ninanguo mbili.
130
00:08:46,160 --> 00:08:48,220
Siwezi kuwa msafi, siwezi kuwa smart.
131
00:08:48,380 --> 00:08:51,080
It's okay, hiyo hiko nature, lakini sio sababu ya wew
132
00:08:51,080 --> 00:08:52,000
kuwa mchafu.
133
00:08:54,180 --> 00:08:56,940
Kwamba, unasema nikipata kabati zima languo, ndo
134
00:08:56,940 --> 00:08:57,600
ntapendeza.
135
00:08:57,940 --> 00:08:58,740
How comes?
136
00:08:59,120 --> 00:09:02,620
Umeshindwa kuwa msafi, kuyutilize hizi-hizi nguo zako mbili
137
00:09:02,620 --> 00:09:04,960
kila siku ukazifua, kama uko na uwezo wa kupiga pasi
138
00:09:04,960 --> 00:09:06,840
ukapigia, ukaonekana smart.
139
00:09:07,340 --> 00:09:10,860
Hata watu wapembeni waseme, fulani angekuwa na nguo
140
00:09:10,860 --> 00:09:13,100
zaidi ya kumi, sidhani tengemkamatia wapi.
141
00:09:19,890 --> 00:09:22,730
sasa, unatuambia kwamba, niko mchafu kwa sababu siko
142
00:09:22,730 --> 00:09:23,210
nanguo.
143
00:09:25,830 --> 00:09:30,150
Ukifikiri kwa makini, utatambua kabisa, uchafu ni tabia yako.
144
00:09:35,800 --> 00:09:37,520
Uchafu nitabia yako.
145
00:09:37,980 --> 00:09:41,140
Kwa hiyo, mwisho wa siku, ni lazima tujifunze kutumia
146
00:09:41,140 --> 00:09:44,420
vidogo tulivyonavyo, ili tupe vitu vikubwa.
147
00:09:45,760 --> 00:09:48,820
Ukifanya vitu vidogo kwa ubora, utaonekana.
148
00:09:49,500 --> 00:09:51,400
No matter what, utaonekana tu.
149
00:09:52,140 --> 00:09:56,220
Na utapewa, eh, daraja kubwa zaidi, kwa
150
00:09:56,220 --> 00:09:59,340
sababu watu watajiuliza, huyu tumempa hiki kidogo, kaweza
151
00:09:59,340 --> 00:10:00,060
kufanya hivi.
152
00:10:00,540 --> 00:10:01,480
je tukimpa kile.
153
00:10:03,140 --> 00:10:06,780
Unamtaji wa elfu tano, lakini unautumia na kuulinda, kama vile
154
00:10:06,780 --> 00:10:07,800
una milioni tano.
155
00:10:08,940 --> 00:10:12,940
Unaweza kumshawishi hata ndugu jamaa rafiki mwenzi akauongeza
156
00:10:12,940 --> 00:10:14,200
zaidi, kwa sababu wataona.
157
00:10:14,760 --> 00:10:16,880
huyu ana, hiki kidogo, ameweza kufanya hivyo.
158
00:10:17,260 --> 00:10:18,440
je tukimpa kile.
159
00:10:19,840 --> 00:10:21,560
Atafanya mangapi makubwa hiyu.
160
00:10:27,620 --> 00:10:30,400
Kwa hiyo ndubu zangu, mwisho wa siku, ni lazima
161
00:10:31,280 --> 00:10:31,960
tubadilike.
162
00:10:32,840 --> 00:10:34,600
Yes, ni lazima tubadilike.
163
00:10:34,840 --> 00:10:36,320
Una kipaji cha kuimba.
164
00:10:36,840 --> 00:10:39,540
Tuoneshe kwamba upo na unawezo wa kuimba, unaimbaje,
165
00:10:39,720 --> 00:10:40,280
una nini?
166
00:10:41,080 --> 00:10:43,940
Simama inje imba cheza, kuko na birthday mtaaani, nenda,
167
00:10:44,080 --> 00:10:46,900
kukuno hiki, kukuna kile, nenda, nenda, kashiriki, fanya
168
00:10:46,900 --> 00:10:47,640
hiki koshiriki.
169
00:10:47,940 --> 00:10:50,940
Kwa ubora as is, umeajiriwa WCB.
170
00:10:51,600 --> 00:10:54,820
Yes, fanya katika namna ambayo, hata yule
171
00:10:54,820 --> 00:10:55,700
mkubwa kule juu.
172
00:10:56,020 --> 00:10:58,200
Sikuwa akipata nafasi ya kuchungulia, anaona kabisa
173
00:10:58,200 --> 00:10:59,480
huyu nikimchukua.
174
00:10:59,700 --> 00:11:02,640
Kwa resource nyingi nilizonazo, anafit na
175
00:11:02,640 --> 00:11:04,120
atafanya mambo makubwa zaidi.
176
00:11:12,900 --> 00:11:15,800
Usiwe mvivu, unalala ndani, unafungia andani kitu kidogo
177
00:11:15,800 --> 00:11:18,280
ambacho ukonacho, wakati unasubiri kikubwa.
178
00:11:18,600 --> 00:11:18,880
How?
179
00:11:19,620 --> 00:11:23,580
Unangoja upate mtaji mkubwa, ndio ufanye biashara wakati ukona wezo kupata
180
00:11:23,580 --> 00:11:27,180
kamtaji kadogo, au ukona mtaji mdogo, unashindwa kufanyia
181
00:11:27,180 --> 00:11:27,680
kazi.
182
00:11:27,880 --> 00:11:32,700
Kwanza, ukaonekana, ili uweze kupata ule mkubwa.
183
00:11:32,980 --> 00:11:35,920
Kumbuka siku zote, hatua ndogo ndogo ndiyo ambazo,
184
00:11:36,300 --> 00:11:39,160
zinaleta hatua kubwa, au ndiyo ambazo zita kufikisha
185
00:11:39,160 --> 00:11:39,580
mbali.
186
00:11:40,000 --> 00:11:42,440
Unataka kufika kule, lazima kuanza na hatua moja,
187
00:11:42,920 --> 00:11:48,480
ya lazima uone kwamba itatokea maajabu au tunasema hiki ni
188
00:11:48,480 --> 00:11:51,680
kizazi cha kupenda miujiza, yani uko unatamani utokee
189
00:11:51,680 --> 00:11:53,600
muujza wowote unjikute uko kule noo.
190
00:11:54,900 --> 00:11:56,140
Haiwezekani!
191
00:11:57,300 --> 00:11:59,400
Haiwezekani kabisa.
192
00:12:05,330 --> 00:12:06,870
Kila kitu kina kanuni zake.
193
00:12:08,890 --> 00:12:12,690
fanya kitu hiko hiko, hiko hiko, usiseme ni
194
00:12:12,690 --> 00:12:15,250
kidogo, Iko iko kidogo we ambacho, unakihisi
195
00:12:15,250 --> 00:12:18,290
ni kidogo, kuna mtu analia usiku na mchana,
196
00:12:18,510 --> 00:12:19,170
anakitamani.
197
00:12:20,730 --> 00:12:25,550
Kidogo ulichonacho sa hii, unakidharau, kuna mtu anakesha, anamomba
198
00:12:25,550 --> 00:12:28,930
Mungu kwamba anakitaka, na anawaza kwamba kama ningekuwaga
199
00:12:28,930 --> 00:12:30,910
na kile, wallahi
200
00:12:32,070 --> 00:12:34,270
Ningefanya mambo mengi sana makubwa.
201
00:12:35,050 --> 00:12:37,710
Leohi unadharau, unaona kidogo ulichonacho hakifai.
202
00:12:37,710 --> 00:12:41,050
Kuna mtu anakesha, anamomba Mungu, e Mungu nipe
203
00:12:41,050 --> 00:12:44,670
kile tu, basi, sitakuomba kitu kingine tena.
204
00:12:47,910 --> 00:12:50,630
Upo na mwanamke mmoja, unashindwa kumtimizia
205
00:12:50,630 --> 00:12:51,490
mahitaji yake.
206
00:12:52,810 --> 00:12:55,810
Lakini unahangaika, yani unakuta huyo mkaka, unahangaika kwa wanawake
207
00:12:55,810 --> 00:12:57,010
6, 7, 10.
208
00:12:57,210 --> 00:12:57,930
How comes?
209
00:12:59,290 --> 00:13:01,430
Yaani, uko na mwanamke mmoja anakupenda
210
00:13:01,510 --> 00:13:02,470
anakonesha upendo.
211
00:13:03,470 --> 00:13:06,010
Unashindwa kumpa the same effort ambazo yuko
212
00:13:06,010 --> 00:13:06,790
anazitoa kwako.
213
00:13:07,710 --> 00:13:11,030
Lakini unakesha kutongoza wanawake wengine na wengine wangine.
214
00:13:16,790 --> 00:13:18,950
Just take your time fikiri.
215
00:13:21,450 --> 00:13:25,650
Unajua, niko nimepata changamoto nyigi sana kwenye vitu
216
00:13:25,650 --> 00:13:27,230
vyangu kadha wakadha ambavyo niko nafanya.
217
00:13:27,470 --> 00:13:29,450
Unakuta unaenda kwenye page ya mtu labda Instagram,
218
00:13:29,650 --> 00:13:30,990
anajitangaza anafanya kituflali.
219
00:13:31,330 --> 00:13:33,690
Unachukua na contact nayeye, nipo nahitaji huduma yako.
220
00:13:33,970 --> 00:13:36,630
Walaahi unapokea ni madudu, madudu kabisa.
221
00:13:36,710 --> 00:13:37,830
Mpaka unajuliza huyu mtu?
222
00:13:37,830 --> 00:13:41,590
Sasa cha ajabu ni kwamba, anakesha kutangaza, anatangaza yuko.
223
00:13:41,910 --> 00:13:44,490
Nafanya service hizi, nafanya anakesha kutafuta wateja wapya.
224
00:13:44,770 --> 00:13:45,450
Unajiuliza?
225
00:13:46,110 --> 00:13:47,350
mbn mim amenifanyia madudu madudu?
226
00:13:47,550 --> 00:13:50,750
Yani, na kwa nin bado anatumia nguvu kubwa sana kujitangaza.
227
00:13:50,990 --> 00:13:54,030
Wakati mim mteja mmoja tu anashindwa kunihudumia perfect
228
00:13:56,970 --> 00:14:00,130
Ukikaa vizuri kuchunguza, unagundua kwamba.
229
00:14:00,690 --> 00:14:02,310
kitu kinacho mwendesha ni tamaa.
230
00:14:03,370 --> 00:14:05,970
Tamaa ya kufika mbali ikiwa hana mikakati.
231
00:14:05,970 --> 00:14:08,250
Tamaa ya kufika mbali ikiwa bado hana ubora.
232
00:14:08,510 --> 00:14:11,370
Tamaa ya kufika mbali ikiwa bado hawezi kufanya
233
00:14:11,370 --> 00:14:12,650
hata hivi vidogo.
234
00:14:12,870 --> 00:14:16,410
Usipoweza kushukuru au kutumia kidogo ulichonacho, kamwe
235
00:14:16,410 --> 00:14:17,810
huta weza kutumia kikubwa.
236
00:14:18,210 --> 00:14:19,090
never forget about it
237
00:14:27,180 --> 00:14:28,420
Sahau kabisa.
238
00:14:28,800 --> 00:14:31,980
Kama huweze kutumia vitu vidogo vidogo, wallahi lazima
239
00:14:31,980 --> 00:14:33,900
huta weza kutumia vitu vikubwa.
240
00:14:34,160 --> 00:14:36,220
ndiyo pale ambapo mtu anapewa mtaji milioni kumi,
241
00:14:36,360 --> 00:14:38,560
ishirini, thelasini, milioni mia, end of the day,
242
00:14:38,840 --> 00:14:41,640
nini anafanya, unafirisika mtaji wote.
243
00:14:41,640 --> 00:14:45,080
Ni kwa sababu, alishindwa, alikuwa na uwezo wa kuanza na elfu hamsini,
244
00:14:45,180 --> 00:14:46,940
laki moja, laki mbili, mpaka milioni moja.
245
00:14:47,620 --> 00:14:49,540
Akawa anaizarau, anataka kubwa.
246
00:14:50,200 --> 00:14:52,340
Akapata kubwa, na hakuna kitu alifanya.
247
00:14:52,660 --> 00:14:55,060
Siku zote, mtu anaefanya vitu kidogo vidogo kwa
248
00:14:55,060 --> 00:14:57,400
ubora, hawezi kushindwa vitu vikubwa.
249
00:14:57,920 --> 00:14:59,180
Come on, hawezi.
250
00:14:59,700 --> 00:15:01,120
Fanya research kidogo utagundua.
251
00:15:03,000 --> 00:15:06,480
Mtu ambaye, amezoea, au anafanya vitu vidogo vidogo,
252
00:15:06,600 --> 00:15:07,440
lakini kwa ubora.
253
00:15:07,720 --> 00:15:10,800
Sizungumzii wewe ambaye, unafanya kitu kidogo na unakizarau,
254
00:15:10,800 --> 00:15:13,500
na maanisha, yule ambaye, anafanya kitu kidogo,
255
00:15:13,780 --> 00:15:16,060
lakini katika namna ya ubunifu wake wote,
256
00:15:16,420 --> 00:15:18,660
nguvu zake zote, akili zake zote.
257
00:15:19,200 --> 00:15:24,640
Yani, anajitahidi kwa kadiri ambavyo, anaweza mpaka kiwangocha
258
00:15:24,640 --> 00:15:26,160
chamwisho kinapo gotea.
259
00:15:33,550 --> 00:15:36,490
Siku zote, mtu kama huyu, hata akipata nafasi
260
00:15:36,490 --> 00:15:38,370
kubwa, ataitumia vizuri.
261
00:15:39,070 --> 00:15:41,170
Siku zote, hio ipo wazi.
262
00:15:42,250 --> 00:15:43,770
Hio ipo wazi.
263
00:15:43,910 --> 00:15:46,510
Usiangayike na majina makubwa, usiangayike na mambo makubwa,
264
00:15:46,590 --> 00:15:48,090
vitu vikubwa ambavyo unaviona kule.
265
00:15:48,610 --> 00:15:52,650
Leo hii chumba kimoja, unashindwa, eh, umepanga, let's
266
00:15:52,650 --> 00:15:54,810
say umepanga kwenye chumba chako kimodia unalipa
267
00:15:54,810 --> 00:15:58,210
elfuthelathini unatamani kupanga nyumba nzima.
268
00:15:58,530 --> 00:16:00,730
sasa ukiangali hata hicho chumba kimoja ambacho unaishi,
269
00:16:01,230 --> 00:16:01,950
ni mtihani.
270
00:16:02,830 --> 00:16:03,410
Ni mtihani.
271
00:16:03,990 --> 00:16:05,490
Nisifike huko, nisifike huko.
272
00:16:05,810 --> 00:16:09,210
So, naweza nika eda mbali zaidi.
273
00:16:09,650 --> 00:16:13,130
Naomba ni washukuru sana kwa kuweza kumisikiliza katika
274
00:16:13,130 --> 00:16:14,190
kipindi chetu cha leo.
275
00:16:15,190 --> 00:16:18,890
Na tukutane tena katika mfululizo wa vipindi vijavyo,
276
00:16:19,010 --> 00:16:22,470
kutokea hapa Life With muhasu podcast, akasanteni Byee.
21811
Can't find what you're looking for?
Get subtitles in any language from opensubtitles.com, and translate them here.